Tanzani: Mvutano wa wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA kuendelea kuwa bungeni

Sauti 09:53
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Freeman Mbowe
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Freeman Mbowe RFI Kiswahli

Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kinaendelea kusisitiza kuwa hakikuidhinisha wabunge 19 wa viti maalum kutoka chama chake kwenda bungeni na kinataka waondolewe bungeni.