Kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania
Imechapishwa:
Sauti 09:18
Wiki hii, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe alikamatwa na polisi akiwa mjini Mwanza, akijiandaa kuongoza kongamano la kudai katiba mpya nchini humo. Polisi wanasema wanamshikilia kwa tuhma za kigaidi.