Wimbi la Siasa

Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi 2025

Sauti 09:32
Kituo cha kupigia kura huko Zanzibar, Tanzania, Oktoba 28, 2020.
Kituo cha kupigia kura huko Zanzibar, Tanzania, Oktoba 28, 2020. AFP/Patrick Meinhardt

Wiki hii tunaangazia hatua ya vyama vya siasa nchini Tanzania kuunda Baraza la pamoja kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.