- Rais wa Syria,Bashar Al Assad atangaza msamaha kwa Wapinzani waliokuwa wakishikiliwa
- waziri mkuu wa Pakistan,Yousef Raza Gilani akubali kufika mahakamani.
- Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan aahidi kupunguza gharama za mafuta, baada ya kutoafikiana na vyama vya Wafanyakazi
- Takriban watu 13 wapoteza maisha baada ya Jengo kuanguka mjini Beirut
- 13 wapoteza Maisha baada ya kuwepo kwa mapigano ya kikabila jimboni Jonglei Sudani Kusini
- Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia aapishwa kutumikia wadhifa wa urais kwa awamu ya pili
- 1 Emission en swahili 2012-01-16
- 1 Emission en swahili 2012-01-16
- 1 Emission en swahili 2012-01-16
- HABARI RAFIKI
- Jua ukweli kuhusu Maisha yako
- Umuhimu wa kuwa na Bustan na kuzitunza