- Waasi wa M23 wadai kudhibiti Miji kadhaa nchini Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo
- Sudani kusini yasherekea kumbukumbu ya Mwaka mmoja tangu kujipatia uhuru
- Spika wa Bunge la Misri aitisha kikao cha Bunge hapo kesho kufuatia Amri iliyotolewa na Rais Morsi
- Koffi Annan aahidi kuzungumza na Upinzani wa Syria juu ya Majadiliano yake na Rais Assad
- Serikali ya Ugiriki yapata pigo baada ya kujiuzulu kwa Waziri wa Kazi nchini humo
- Kesi ya John Terry dhidi ya Ferdinand yasikilizwa hii leo
- Didier Deschamps apewa kibarua cha kuinoa Timu ya Taifa ya Ufaransa
- Mjadala wa Katiba Mpya Tanzania
- Mazingira na Mchango wake katika Utalii
- Mapigano Nchini Congo