Wimbi la Siasa

Koffi Annan ataka iundwe serikali ya mpito nchini Syria

Sauti 09:49
Reuters

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa wa usuluhishi wa mgogoro wa Syria, Koffi Annan ametaka kuundwe serikali ya mpito ili kukabiliana na mgogoro huo lakini upande wa upinzani unasema hautakuwa tayari kufanya hivyo mpaka Rais Bashar AL Assad ang'oke madarakani. Makala ya Wimbi la Siasa leo hii inaangazia kwa kina suala la mgogoro wa Syria.