Gurudumu la Uchumi

Kama unasubiri usawa wa kijinsia itabidi usubiri mpaka mwaka 2095 wanasema wataalamu

Sauti 09:27
Kaibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akiwa na mwanaharakati wa wanawake, Emma Watson
Kaibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon akiwa na mwanaharakati wa wanawake, Emma Watson UN multimedia

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia ripoti iliyotolewa na taasisi ya Jukwaa la Kiuchumi "World Economic Forum" ripoti ambayo imeonesha kuwa iwapo unasubiri kuona usawa wa kijinsia basi itakubidi usubiri kwa angalau miaka 80.Ripoti hii imesema kuwa kumepigwa hatua kwenye sekta ya Afya na Elimu ambapo suala la jinsia limezingatiwa na kwamba maeneo ambayo bado ni changamoto ni katika maeneo ya kazi na rasilimali.