SYRIA-URUSI-MAPIGANO

Watu 25, ikiwa ni pamoja na watoto sita, wauawa Raqa

Picha ya propaganda iliyotolewa na vyombo vyz habari vya  kijihadi vya Welayat Raqa,  inaonyesha wapiganaji wa kundi la Islamic State wakifanya maonyesho ya kijeshi katika mji wa Raqa, Juni 30, 2015, Syria.
Picha ya propaganda iliyotolewa na vyombo vyz habari vya kijihadi vya Welayat Raqa, inaonyesha wapiganaji wa kundi la Islamic State wakifanya maonyesho ya kijeshi katika mji wa Raqa, Juni 30, 2015, Syria. AFP/WELAYAT RAQA/AFP/

Ni vigumu kwa sasa kujua kwamba mashambulizi yaliendeshwa na ndege za kivita za Urusi au za Syria, shirika la Haki za binadamu nchini Syria (OSDH) limesema.

Matangazo ya kibiashara

Maeneo mengi ya mkoa wa Raq yamelengwa na mashambulizi hayo. Raia 25, wakiwemo watoto sita wameuawa katika mashambulizi dhidi ya ngome ya kundi la Islamic State, Raqa, nchini Syria, OSDH imesema leo Jumatano.

Mashambulizi yaliyoendeshwa Jumanne wiki hii yalilenga maeneo mengi yamji wa Raqa, OSDH imebaini, huku ikiongeza kuwa ni vigumu kujua kwamba mashambulizi hayo yaliendeshwa na ndege za kivita za Urusi au za Syria.migomo yalifanywa na Syria au la Urusi anga.

Picha ya uharibifu katika mji wa Raqa, Syria, Novemba 25, 2014.
Picha ya uharibifu katika mji wa Raqa, Syria, Novemba 25, 2014. AFP/Raqa Media Center/AFP/