Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya kusimama na wapalestina

Sauti 10:08
Kiongozi wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, mjini Bethlehem Janury 6, 2016.
Kiongozi wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, mjini Bethlehem Janury 6, 2016. REUTERS/Ammar Awad

Leo ni siku ya kimataifa ya kushirikiana na wapalestina.Ni siku iliyotungwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1977 ili kutambua haki ya watu hao kuwa taifa huru na yenye mamlaka kamili ya kujitawala.Mwaka huu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon anataka Israel kuacha ubomoaji wa makaazi ya Palestina katika ukanda wa Gaza kama njia mojapowapo ya kutambua haki za Palestina.Je unahisi kuwa haki za Palestina zinaheshiwa na dunia imefanya vya kutosha kusaidia kutatua mgogo wake na Israel ?Na Edmond Lwangi Tcheli