Qatar yatengwa na Mataifa sita ya Kiarabu kwa madai ya ugaidi

Sauti 11:56
Majenga jijini Doha
Majenga jijini Doha 路透社

Mataifa sita ya kiarabu yametangaza kuvunjika uhusiano wao wa kidiplomasia na Qatar kwa madai kuwa, nchi hiyo inaunga mkono makundi ya kigaidi, madai ambayo Doha inakanusha. Tunajadili suala hili kwa akina na wachambuzi wetu wa siasa za Kimataifa, Dkt. Brian Wanyama ambaye ni Mhadhiri wa chuo Kikuu cha Kibabii mjini Bungoma nchini Kenya na Haji Kaburu akiwa jijini Dar es salaam.