Palestina yasema haitaitambua Israel

Sauti 15:01
Kiongozi wa Palestina Mahmoud Abbas
Kiongozi wa Palestina Mahmoud Abbas REUTERS/Carlos Barria

Mamlaka ya Palestina imesema, haitaitambua Israel baada ya Marekani kutangaza kuwa inaitambua Jerusalem kuwa makao makuu ya Israel. Wakati uo huo, Marekani imesema inasitisha msaada wa fedha kwa Tume ya Umoja wa Mataifa, inayowashughulikia wakimbizi wa Kipalestina.