Mjadala wa Wiki

IS ladhoofishwa Syria na Iraq

Imechapishwa:

Baada ya miezi ya mapigano, kikundi cha jihadi cha Kiislam (IS) kimepoteza Baghuz, kijiji cha mashariki mwa Siria ambacho kinaelezwa kuhitimisha utawala wa kihalifa nchini syria.Kama ambavyo mwishoni mwa 2017, IS ilivyopoteza ngome zake za Mosul nchini Iraq na Raqqa nchini Syria.

Wanajeshi wa Jeshi huru la Syria wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangaza kukomboa eneo la mwisho kushikiliwa na wapiganaji wa IS
Wanajeshi wa Jeshi huru la Syria wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangaza kukomboa eneo la mwisho kushikiliwa na wapiganaji wa IS AP/Maya Alleruzzo
Vipindi vingine