Changamoto inayokabili mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati CECAFA 2011

Sauti 19:31

Waandishi wa makala hii, juma hili wameangazia mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati CECAFA, mashindano yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam.