Jukwaa la Michezo

Harakati za uchaguzi chama cha soka nchini Kenya KFF.

Sauti 20:02

Mtangazaji wa makala haya juma hili, ameangazia sakata la uchaguzi mkuu wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Kenya, yakiwa yamesalia majuma machache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo.