Jukwaa la Michezo

All African Games "Mashindano ya Afrika ya Olimpiki"

Sauti 19:59
Cafonline

Watayarishaji wa makala haya juma hili wameangazia mashindano ya Afrika "All African Games" yatayofanyika Maputo, Musmbiji kuanzia tarehe 3 hadi 18 mwezi wa tisa.