Msumbiji

Kenya na Ethiopia zategemewa kufanya vema kwenye riadha katika mashindano All African Games

Infonigeria

Siku kumi za makala ya kumi ya All Africa Games yameshuhudia hatua ya finali ya riadha ikikaribia huku nchi zenye matumaini ya kufanya vizuri kwenye mchezo huo ni Kenya, Ethiopia na Nigeria huku wenyeji Msumbiji mambo hayawaendei vizuri sana.