Muziki Ijumaa

Lifahamu kundi la Bonny M na miziki yao ya Xmas

Sauti 10:00

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia kundi la wanamuzi wa Bonny M waliovuma sana duniani miaka ya 90 hasa kutokana na aina ya muziki waliokuwa wakiuimba pamoja na nyimbo zao za xmas zilizojipatia umaarufu.