Jukwaa la Michezo

Maandalizi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2012

Sauti 19:58
Mlinzi wa timu ya taifa ya Guinea David Alvarez, Guinea itashiriki mashindano ya mwaka huu
Mlinzi wa timu ya taifa ya Guinea David Alvarez, Guinea itashiriki mashindano ya mwaka huu Reuters

Mtangazaji wa makala hii, Victor Abuso amejumuika na Emmanuel makundi na kuangazia maandalizi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayotarajiwa kuanza tarehe 21 ya mwezi huu.