UINGEREZA

Mbivu na mbichi kubainika kesho kati ya Ma City na Man U.

Msimu wa ligi kuu ya Uingereza kwa mchezo wa soka msimu wa mwaka 2011/2012 unamalizika leo,huku macho yakiangazia mchuano kati ya Manchecter City na Manchecster United ambao wote wanawania taji hilo.

Kocha Roberto Mancini wa Manchester  City na kocha  Alex Ferguson wa Mancester United
Kocha Roberto Mancini wa Manchester City na kocha Alex Ferguson wa Mancester United Getty image
Matangazo ya kibiashara

Manchester City ambao wanaongoza ligi hiyo kwa alama 83 sawa na watani wao wa jadi Manchester United wanacheza na Qeens Park Rangers,huku Manchester City wakicheza na Surndeland ugenini.

Mshindi wa mechi hiyo kati ya Manchester United na City atanyakua taji hilo ambalo Manchester United inalisaka kushinda taji hilo mara 20,huku Manchester city ikitaka kushinda taji hilo ndani ya miaka 40.

Sare yeyote kati ya timu hizi mbili itaipa Manchester city ushindi kutokana na wingi wa mabao waliyonayo dhidi ya Manchester United.

Kocha wa Manchester United Sir Alex Furguson anataka kuweka historia na klabu yake,huku mwenzake wa manchster city Roberto Mancini akisema huu ni wakati wa vijana wa Manchester city kunyakua taji hilo.