Jukwaa la Michezo

Jukwaa la michezo latia nanga nchini Uganda,fuatilia

Sauti 19:49

Jukwaa la Michezo wiki hii linakwenda Uganda.Victor Abuso anazungumza na Abdu Semeguehyi shabiki wa klabu ya soka ya Arsenal nchini Uganda aliyenzisha klabu ya soka ya vijana chipukizi ya Arsenal Uganda,lakini kwanza wanatathmini fainali ya kombe la mataifa bingwa barani Ulaya waliloshinda Chelsea.