Jukwaa la Michezo

Harakati za soka kuelekea kombe la dunia 2014 nchini Brazil na kombe la Ulaya 2012 huko Poland na Ukraine.

Sauti 19:58

Juma hili katika makala ya jukwaa la michezo Victor Abuso amekuandalia mengi kuhusu harakati za kuelekea katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil pamoja na michuano ya kombe la Ulaya huko Poland na Ukraine.Karibu.