Jukwaa la Michezo

Mashindano ya kombe la Ulaya yaanza

Sauti 19:32

Juma hili katika makala haya ya jukwaa la michezo tunakuletea uchambuzi wa michuano ya Kombe la Ulaya mwaka 2012 inayofanyika nchini Poland na Ukraine, Victor Abuso amekuandalia mengi zaidi, Karibu.