Unamfahamu Mwanafalsafa msanii maarufu kutoka Tanzania?
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 20:00
Katika makala haya utafahamu mengi kumhusu msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la mwana FA ambaye ametembelea studio za rfi kiswahili na kuzungumza na Edmond Lwangi Tcheli, sikiliza.