Jukwaa la Michezo

Fahamu kuhusu maandalizi ya mataifa ya Afrika katika michuano ya Olimpiki huko London mwezi ujao.

Sauti 20:02

Katika makala haya utafahamu mengi ikiwa ni pamoja na maandalizi ya mataifa ya Afrika katika michuano ya Olimpiki itakayofanyika huko London Uingereza baadye mwezi ujao, Victor Abuso amekuandalia mengi zaidi.