Fahamu mengi kuhusu Said Mbelwa mwana masumbwi wa Tanzania aliyepambana katika pambano la amani huko Kabul Afghanistan.

Sauti 19:50

Katika makala haya Jumapili hii Vivtor Abuso amezungumza na Saidi Mbelwa mwana masumbwi wa Tanzania aliyepambana katika pambano la amani huko Kabul nchini Afghanistan juma hili.Karibu