Jukwaa la Michezo

FIFA yaionya Tanzania

Sauti 20:22

Jumahili katika makala ya jukwaa la michezo Victor Abuso amekuandalia mengi ikiwa ni pamoja na shirikisho la soka duniani FIFA kuipa onyo serikali ya Tanzania endapo itaingilia masuala ya soka nchini humo, fuatilia zaidi