Jukwaa la Michezo

Michezo ya kufuzu kucheza kombe la dunia

Sauti 19:28
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Sammata akiwatoka walinzi wa timu ya taifa ya Morocco
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Sammata akiwatoka walinzi wa timu ya taifa ya Morocco RFI

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia mechi za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil, ambapo timu mbalimbali barani Afrika zilichuana.