Jukwaa la Michezo

Michuano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 barani Afrika

Imechapishwa:

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inagusia juu ya michuano ya soka barani Afrika kwa vijana chipukizi wasiozidi miaka 20 huku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ikiondolewa katika michuano hiyo, pia kutakuwa na uchambuzi juu ya mataifa ya Afrika Mashariki kutofanya vizuri katika michezo ya soka pindi wawapo ugenini. Kupata mengi zaidi ungana na mwanamichezo wa rfi kiswahili Victor Abuso, karibu.

Journal des sports
Journal des sports © Studio Graphique FMM
Vipindi vingine