Habari RFI-Ki

Wanawake nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo DRC wajipanga kukabiliana na vitendo vya ubakaji Mashariki mwa Nchi hiyo

Sauti 10:56
Waathiriwa wa matendo ya ubakaji katika Jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC
Waathiriwa wa matendo ya ubakaji katika Jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC

Wanawake nchini Jamhuri ya Kidemokarasia ya Congo DRC wameanza kutumia mbinu mbadala katika kuhakikisha wanakabiliana na vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na Makundi ya watu wenye silaha huko Mashariki. Hatua hii inakuja kipindi hiki ambacho Umoja wa Mataifa UN umesaini mkataba maalum na Serikali ya Kinshasa kushughulikia vitendo vya ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia!!