Jukwaa la Michezo

Tabia ya mashabiki wa soka kuwavamia na kuwapiga waamuzi

Sauti 20:08

Katika makala haya tunaangazia tabia ya mashabiki wa soka kuwavamia waamuzi na kuwapiga, tunaye mwamuzi wa siku nyingi kutoka nchini Kenya Hakim Juma.Karibu