Jukwaa la Michezo

Fahamu soka la Rwanda na Kenya

Sauti 20:43

Leo katika makala haya tunaangazia kuhusu hatua ya Rwanda kumfuta kazi kocha wa timu ya  Amavubi Stars, juma moja baada ya Uganda kufanya hivyo kwa aliyekuwa  kocha wa timu ya taifa hilo. Victor Abuso amekuandalia mengi, karibu.