Jukwaa la Michezo

Soka barani Ulaya

Sauti 19:58

Jukwaa la michezo hii leo linaangazia michuano ya soka barani Ulaya ambapo hivi karibuni klabu ya soka ya Manchester United imenyakua ubingwa wa 20 wa ligi kuu ya soka ya Uingereza chini ya kocha wake mkuu Alex Ferguson, pia utasikia kuhusu michuano ya nusu fainali ya ligi mabingwa barani Ulaya na mitanange mbalimbali inayoendelea kushuhudiwa. Victro Abuso atakujuza mengi zaidi, karibu.