Jukwaa la Michezo

Alex Ferguson atangaza kujiuzulu kukinoa kikosi cha Manchester United

Imechapishwa:

Makala ya Jukwaa la Michezo hii leo inaangazia kauli iliyotolewa na Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye amesema atajiuzulu nafasi yake baada ya kuisaidia klabu hiyo kung'ara katika medani za soka kwa takribani miaka ishirini na sita, karibu sana shabiki wa soka na ukitaka kufahamu mengi zaidi ungana na mtangazaji wako Victor Abuso.

Reuters/Phil Noble
Vipindi vingine