Jukwaa la Michezo

Fahamu yaliyojiri uwanjani kati ya watani wa jadi Simba na Yanga

Sauti 20:08

Katika makala haya ungana na Victor Abuso kufahamu mambo yaliyojili katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam wakati wa mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga kukamilisha ligi kuu ya Vodacom nchini Tanzania.Karibu