Jukwaa la Michezo

Matukio ya kimichezo yaliyojitokeza juma hili

Sauti 20:48

Makala ya Jukwaa la Michezo juma hili inaagazia matukio mbalimbali ya kimichezo yaliyojitokeza juma hili ikiwamo hatua ya Shirikisho la soka nchini Uganda FUFA kutangaza kocha wake mkuu sambamba na DRC nao kumtaja kocha mkuu wa soka katika Taifa hilo, fuatana na mtangazaji wako Victor Abuso ambaye atakujuza mengi yaliyojiri katika medani za kimichezo juma hili.