Vitalo wanyakua taji la CECAFA

Sauti 20:17

Karibu katika jukwaa la michezo na miongoni mwa mambo utakayosikia ni pamoja na klabu ya soka la Vitalo ya nchini Burundi kuchukua ushindi wa michuano ya soka ya klabu bingwa Afrika Mashariki na kati CECAFA, kwa mengi zaidi ungana na Mwanamichezo wako Victor Abuso.