Jukwaa la Michezo

Fahamu kuhusu michuano ya COSAFA

Sauti 19:40

Leo katika makala haya utafahamu kuhusu hatua iliyofikiwa katika michuano ya COSAFA  pamoja na bei za tiketi za mechi za kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazili kama zilivyotangazwa na FIFA, Victor Abuso amekuandalia mengi Karibu