Uganda Cranes wafuzu kutinga fainali za CHAN mwaka 2014 huku ndoto za Taifa Stars kwenda Afrika Kusini zikiyeyuka
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 20:55
Jukwaa la Michezo jumapili hii linaangazia michuano ya CHAN ambapo Uganda Cranes wamefuzu kushiriki fainali zitakazofanyika mwaka 2014 nchini Afrika Kusini baada ya kuifunga timu ya taifa ya Tanzania "Taifa Stars", pia utasikia kuhusu shutuma za ufisadi kwa shirikisho la soka nchini Kenya KFF.