Edna Kiplagat aing'arisha Kenya katika mashindano ya riadha ya dunia

Sauti 21:00
Reuters

Katika Jukwaa la Michezo jumapili hii tunaangazia hatua ya kuanza kwa mashjindano ya riadha ya dunia jijini Moscow nchini Urusi ambapo Mwanariadha wa Kenya na bingwa wa mbio za nyika Edna Kiplagat alifanikiwa kumaliza wa kwanza katika mashindano ya siku ya jumamosi, pia tuaangazia kumalizika kwa michuano ya voliboli baina ya mataifa ya kanda ya tano jijini Kampala Uganda katika kusaka tiketi ya kufuzu kwa michezo ya dunia hapo mwakani.