Jukawaa la Michezo

Sauti 20:46

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo sikiliza uchambuzi kumhusu mchezaji wa mchezo wa Kikapu Bismack Biyombo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayecheza katika ligi  ya NBA nchini Marekani, kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya soka Tanzania bara na pia  kuhusu mchuano wa ligi kuu ya soka nchini Kenya  kati ya watani wa jadi  Gor Mahia na AFC Leopards.Ungana na Victor Abuso kwa uchambuzi wa kina.