Jukwaa la Michezo

DRC wafuzu kutinga fainali za CHAN Januari 2014

Sauti 21:25
RFI / David Kalfa

Jukwaa la Michezo juma hili linaangazia kuingia madarakani kwa uongozi mpya wa soka nchini Uganda na hatua ya klabu ya soka ya DRCongo Leopards kufuzu kuingia fainali za michuano ya soka wachezaji wanaocheza ligi ya nyumbani inayotarajiwa kuanza nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa mwaka 2014.