Jukwaa la Michezo
Kuchezeshwa kwa wachezaji wasio na sifa ni kupuuza sheria za FIFA?
Imechapishwa:
Cheza - 23:06
Leo katika makala haya tumekuandalia uchambuzi wa masuala mbalimbali , moja miongoni mwayo ni hatua ya kuchezeshwa kwa wachezaji wanaotumikia adhabu , je ni kupuuza kwa sheria za FIFA ama la?Victor Abuso amekuandalia mengi, karibu