Jukwaa la Michezo

Namna gani Afrika itatoa timu 5 bora kuwakilisha katika kombe la Dunia 2014 Brazil

Imechapishwa:

Makala ya Jukwaa la michezo juma hili Inaangazia uchambuzi kuhusu droo iliyotolewa na shirikisho la soka barani Afrika CAF kutafuta timu tano bora zitakazo wakilisha bara Afrika katika Kombe la michuano ya dunia nchini Brazil mwaka 2014!

Journal des sports
Journal des sports © Studio Graphique FMM
Vipindi vingine