Jukwaa la Michezo

TP Mazembe yatinga nusu fainali kuwania ubingwa wa Shirikisho la soka barani Afrika

Imechapishwa:

Karibu katika Jukwaa la Michezo na juma hili tutaangazia uchambuzi wa kina kuhusiana na timu ya TP Mazembe ya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuzu kutinga nusu fainali ya michuano ya kuwania taji la Shirikisho la soka barani Afrika, aidha tutaangazia baadhi ya dondoo za ligi kuu ya Uingereza na matukio mengineyo ya kimichezo yaliyojiri wiki hii.

Journal des sports
Journal des sports © Studio Graphique FMM