Jukwaa la Michezo

Mchezo wa riadha nchini Tanzania

Sauti 20:03

Katika jukwaa la michezo hii leo tunaangazia hadhi ya mchezo wa riadha nchini Tanzania ambayo kwa miaka ya hivi karibuni imeonekana kusuasua katika mchezo huo na hata wachezaji wake kukosa medani katika michuano mbalimbali ya kimataifa, kwa mengi zaidi jumuika naye Victor Abuso na Victor Robert Wile.