Jukwaa la Michezo

Michuano ya CHAN Afrika Kusini

Imechapishwa:

Juma hili tunaangazia michuano ya kuwania ubingwa wa soka Afrika katika michuano inayowashirikisha wachezaji wanaocheza ndani ya bara hilo maarufu kwa jina la CHAN ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi tarehe 11 Januari mwaka 2014 huko nchini Afrika Kusini.

cafonline.com
Vipindi vingine