Jukwaa la Michezo

Fahamu kuhusu kuanza kwa michuano ya CHAN

Sauti 20:46

Katika makala haya , tunaangazia kuanza kwa michuano ya CHAN,na ushindi wa Yaya Toure kama mchezaji bora wa soka barani Afrika mwaka 2013.Victor Abuso amekuandalia mengi Karibu.