Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa robo fainali michuano ya CHAN, riadha na mchezo wa magongo

Imechapishwa:

Jumapili hii tumekuandalia uchambuzi wa michuano ya soka ya robo fainali ya CHAN barani Afrika inayowashirikisha wachezaji wanaosakata kabumbu katika ligi za nyumbani inayoendelea nchini Afrika Kusini, utasikia pia kuhusu riadha na mchezo wa magongo.

Vipindi vingine