Jukwaa la Michezo

Fainali za michuano ya CHAN mwaka 2014

Sauti 21:43

Katika Jukwaa la Michezo juma hili tutachambua kwa kina kuhusu fainali za michuano ya CHAN iliyomalizika nchini Afrika Kusini huku Libya ikinyakua taji hilo kwa mara ya kwanza, pamoja na hayo utapata matukio mbalimbali ya kimichezo yaliyojiri duniani.