Muziki Ijumaa

Msanii wa Uganda, Dr Jose Chameleone

Sauti 09:59
Msanii kutoka nchini Uganda Dr Jose Chameleone
Msanii kutoka nchini Uganda Dr Jose Chameleone RFI/Jose Chameleone facebook

Makala ya Muziki Ijumaa leo inakuletea mahojiano na mwanamuziki Jose Chameleone kutoka kampala Uganda.Fuatana na Ali Bilali upate uhondo. Karibu.